Consulate of the United Republic of Tanzania in Denmark

Calling young Tanzanians in Denmark

We are preparing a youth community 

Meeting to bring together young people in the Tanzanian diaspora for an open and safe conversation about ideas, needs and solutions for our community.

These is a space to connect, be heard and help shape future youth activities and opportunities.
Whether you were born in Denmark or moved here later, your voice matters.

Food & Refreshments and will be provided.
( Pilau & Samosa )

Thursday 20th of August
 17:00 – 19:00
Place will be announced soon.

if you are under 18, you are very welcome to show this invitation to your parents or guardian.

Lugha ya kiswahili

Tunawaita vijana wa kiTanzania walio Denmark

Tunaanda mkutano wa vijana kwaajili ya  jamii yetu ya hapa. Mkutano utawakutanisha vijana wa kiTanzania waishio hapa Denmark katika jamvi la uwazi na la kujenga, una wazo ambalo litatatua tatizo ama matatizo katika jamii yetu.

Hii ndio nafasi ya kusikika, kuungana na kutengeneza fursa kwa vijana. Haijalishi umezaliwa Denmark au umehamia, sauti yako inajaliwa.

Chakula na vinywaji vitakuwepo kwaajili yenu.

Alhamisi 20/08/2026 Muda: 11: hadi saa 1 za jioni

Sehemu ya kukutana (ukumbi) tutawajulisha punde

Kama upo chini ya miaka 18, ruksa kumuonyesha mzazi ama mwangalizi tangazo hili.