Thank you for joining us in celebrating the 64th anniversary of Tanzania’s independence. We Tanzanian’s are famous for our hospitality and we look forward to receiving you again!
Asanteni kwa kuungana nasi katika kusherehekea maadhimisho ya miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania. Sisi Watanzania tunajulikana kwa ukarimu wetu na tunatarajia kuwapokea tena. Tunatarajia kujenga mahusiano zaidi kati ya Tanzania na Denmark, kuendeleza zaidi biashara, biashara ya kimataifa na uchumi kati ya nchi zetu mbili, pamoja na utalii, utamaduni na burudani
Asanteni nyote/ Thank you all /Tusind tak
Picha kwa hisani ya Hasse FERROLD



